Mfululizo wa mafunzo ya usafi wa mazingira, Babati

Lengo la ripoti hii fupi ni kutoa matokeo makuu ya utafiti uliofanywa na shirika la WaterAid Tanzania katika mji mdogo wa Babati na kuainisha vipengele muhimu vya kuzingatia katika matazamio ya ukuaji wa miradi.